GEISHA MASSAGE & SPA:
UMEPAMBANA MNOOO!!, YOU DESERVE A BREAK!!!, KARIBU TUKUBEMBELEZE...
Karibu upumzike, tukubembeleze, upate nguvu mpya...
​
Come and pamper yourself, collect yourself for all hustles you will go through tomorrow...
Leave your worries aside and prepare to be pampered during the lush experience of a lifetime at Geisha Massage & Spa. Enjoy an enchanting setting, warm and inviting staff and explore all the amazing treatments available. Geisha Massage & Spa is a place of true relaxation, and our entire team is devoted to calming your mind, body and soul.
​
We belive you will visit our office, we are eagerly waiting your visit...
​
Achana na stress za dunia kwa muda mfupi, tenga muda kidogo kwa ajili yako, njoo kwenye kijiwe chetu, tukusikilize na kukubembeleza namna utakavyo. Team yetu yote ipo kwa ajili yako, ikusikilize na kukuudumia. Lengo ni wewe kuwa na utulivu wa nafsi, akili na mwili, ili ukusanye nguvu ukaendelee na mapambano siku zijazo!
​
Karibu sana, tunaamini utatutembelea, tunakusubiri kwa hamu!
​
​
SPA & LEISURE
FULL BODY MASSAGE
60 min, TZS 60,000
HAND AND FOOT CARE
Manicure and Pedicure - TZS 35,000
HAIR REMOVAL SERVICES
Armpits & Privy - TZS 35,000
OPENING HOURS
Visit Us Today
24 hours open!
BOOK NOW
No.4 Kasaba Street, Off Mwinjuma Road, Kindondoni, Dar es Salaam, Tanzania